Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) inapolalia vituo vya afya

Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) inapolalia vituo vya afya

mbeyaman

Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
97
Reaction score
28
Vituo vingi vya afya vilivyoingia mkataba na mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa vimekuwa vinalaliwa malipo baada ya kutoa huduma kwa wanachama.Mathalani dawa ya shilingi 20000 NHIF hulipa shilingi 10000.

Hali hii imesababisha baadhi ya vituo vya afya kutoingia mikataba na NHIF matokeo yake wanachama kupata usumbufu.
 
Back
Top Bottom