Bima ya afya moshi kama kibati.....

Bima ya afya moshi kama kibati.....

M4C ARUSHA

Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
38
Reaction score
4
Wateja wa shirika la bima ya afya mkoa wa kilimanjaro wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na shirika hilo kuwa kama kibanda cha bahati nasibu badala ya kuwahudumia wateja wake kama matakwa ya kazi yanavyoelekeza.
Wanachama wa shirika hilo wamekuwa wakitozwa kiwango cha sh 15000 hadi 20000 ma mhudumu mmoja (jina tunalo)aliyehamishwa hivi majuzi kutoka arusha ili aweze kuwaongoza namna ya kuongeza mwanachama kupunguza mwanachama na namna ya kandika barua na kudai malipo hayo upelekwa makao makuu kitendo ambacho mikoa mingine huwa hawafanyi hivyo.
Uchunguzi wa m4c uliofanyika tangu mwezi mei mwaka jana umebaini kuwa binti huyo alihamishwa kutoka arusha kuja moshi baada ya kugundulika kuwa alitaka kumwekea bosi wake sumu kwa sababu zao binafsi binti huyo ni mkorofi katika ofisi za moshi hali inayopelekea waeja kuiona ofisi hiyo kama shubiri na kupelekea kwenda kujisajili katika mikoa mingine ya jirani kama tanga na arusha.
Taarifa za kuaminika ni kuwa binti huyo ameuwa akiwazuia wateja kuuona meneja au uongozi au hata wafanyakazi wengine lakini uzuri zaidi akishajua kuwa alikula hela yako hukupokea kwa ukarimu kwa madai kuwa ni utaratibu wa kazi
watu wa moshi n arusha kama kadhia hii imewakuta tiririka hapa…tafadhali sana
 
Back
Top Bottom