Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,900
- 183,254
inatakiwa kuwe na mashirika mengi km ilivyo yale ya pension alafu mtu anakuwa huru kuingia kile anachotaka kulingana na ubora wa huduma, sio unikate millions alafu kunihudumia masharti km naomba visa, yaani napatwa na hasira natamani kumeza mtu, we hv to do something kwakweli lasivyo watatuescrow hawa mpaka basi