unakatwa pesa rundo, ila ukiugua dawa wapata panadol na asprin tu!!!
wizi kweupeeeee!
nimekumis

eti eeeh?
Wakuu tuweke utaratibu tukutane tutengeneze agenda dhidi ya hili genge !!

yaani ni uonevu wa hali ya juu pesa yangu halafu mnaeka masharti mnajua yule mdogo wangu mi ndo mama ake mlezi yani mimi nataka nionane na mkurugenzi maana kitendo cha kumtoa mzigo unarudi kwangua acheni hizo