Billionea Davis Mosha

kidoogo umeona mbali.
Ina maana gani kuishi kifahari,huku
umezungukwa na masikini wa kutosha?.
 
Sana tu...mimi ukiniwekea vogue na hicho nachkua vogue


Yah man, Hilo dude nali feel kinoma....hata Land Cruiser V8 la 2014 halioni ndani kwa hyo mashine.....kuna mzee moja wa kichagga namjua lilivyotoka tu analo alaf hana kelele wala nn nd very humble. Lazma usalimie kwa adabu *****....
 
Tabia ya viroba ni umbeya na kujadili watu,simple minded
 
Sasa hiki kigari mtu unaendeshaje.....barabara gani
Aaaaahahaa bongo hamna barabara za kuendeshea gari kama hili,hivi vitu vya mamtoni tu unakua na mupenzi mnatoka out au kwenye ufukwe vile barabara zilijengwa kwa kiwango - lami plus zege barabara haina mabonde kama hio morogoro road....
ANGALIZO:kuna magari mengine ukinunua bongo ni kujitesa tu kwa barabara hizi zisizo na viwango ni majanga imagine mvua ikinyesha haka kagari hakatoki teehteeh.
 
Nikweli lakini hayatuhusu
 
So what? Huna kazi hadi upost huu uji wa kinyesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…