Billionea Davis Mosha

Billionea Davis Mosha

Rawasen

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
181
Reaction score
73
Habari Za Muda Wana Jf Nina Habari Nimezisikia Chini Ya Kapeni Kuwa Bwana Mkubwa C.E.O Wa Dellina Mr Davis Mosha Amenunua Gari Aina Bugati? Je Ni Za Kweli Maana Huyu Bwana Mkubwa Kwa Magari Ya Nadhani Anaongoza
 
fahari hizi ndio znafanya imports kuwa juu kwa thamani pesa kulingana na exports.
 
Huyo tushamzoea magari yake ni kuanzia 500m kwenda mbele .
 
Hata akinunua ndege, sisi yatuhusu nini kama bado Watanzania wengi (pengine wakiwepo baadhi ya ndugu zake yeye mwenyewe) wanaishi katika lindi la umasikini? Yanayotuhusu sisi Watanzania hatuyasemi, yanayowahusu watu binafsi ndo tuyavumishayo vijiweni!
 
Habari Za Muda Wana Jf Nina Habari Nimezisikia Chini Ya Kapeni Kuwa Bwana Mkubwa C.E.O Wa Dellina Mr Davis Mosha Amenunua Gari Aina Bugati? Je Ni Za Kweli Maana Huyu Bwana Mkubwa Kwa Magari Ya Nadhani Anaongoza
ukishajua ukweli itakusaidia nini?
 
Hilo linakusaidia nn ktk maisha yako uliza vtu vya kukusaidia maishani wewe acha umbea tutakununulia khanga
 
Duh,,itachukua muda kuikwamua ktk umasikini nchi yetu kwa dizaini hii
 
Habari Za Muda Wana Jf Nina Habari Nimezisikia Chini Ya Kapeni Kuwa Bwana Mkubwa C.E.O Wa Dellina Mr Davis Mosha Amenunua Gari Aina Bugati? Je Ni Za Kweli Maana Huyu Bwana Mkubwa Kwa Magari Ya Nadhani Anaongoza

Ukisha jua kama ni kweli au si kweli itakusaidiaje katika maisha yako?! Pigana na maisha yako wewe acha kufatilia watu.
 
Back
Top Bottom