Usimuombee mwenzio kifoHapo hakunaga ujanja hata pombe anayejiona Mungu mtu kwa sasa siku Itafika atanyamazishwa
Alibadili Mioyo mara Saba??
Aliipata wapi?
Kifo bhana! Pamoja na kukikwepa kwa kubadili Mioyo lakn haijawa njia sahihi ya kukimbia. Kimemkuta hata bila dalili ya kubadili moyo
Masikini mnajua namna ya kujifarijiSiku yako ikifika imefika tu,haijalishi tajiri au masikini.
Sote ni waja na kwake Allah tutarejea.