maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,030
- 1,344
Kwa mfano mimi bwana X kama nilifungua shauri la mgogoro wa shamba No. 2/2016 dhidi ya bw Y katika baraza la ardhi na nyumba la kata ya Ibisabageni wilaya ya Sengerema nikashindwa kesi lakini nikakata rufaa No. 4/2017 katika baraza la wilaya ya Geita ambako nilishinda.
Lakini bw Y baada ya kushindwa Geita hakuridhika naye akakata rufaa No. 6/2018 katika mahakama kuu ya Geita na baada ya shauri letu kusikilizwa pia nikamshinda.
Je shauri hilo likirudishwa wilayani Sengerema ili niandae Bill of Cost kudai gharama zangu za kesi nitaandikaje heading ya madai i.e Arising from ........
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app