Bill Nass anajitahidi katika tasnia ya muziki

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,829
15,791
Huyu dogo kwenye huu wimbo wake mpya 'Mazoea' amethibitisha kwamba sio msanii wa nyimbo mbili, ni HITMAKER yaani bumper to bumper. Huu wimbo wake unafungua mwaka vizuri, japo naona kama mfupi. Akiendelea na trend hii atafika mbali...
 
Kujuana sana ndio kuharibiana CV so usinijue sana kama una hata plan B... wambie wasinijue kabsaa mazoea kuzoeanaa!!

Sawa sawaa bill nass nimekuelewaaa
 
Ni mzuri sema aliyemshirikisha hanaga nyota yakukubalika japo anafanyaga.vitu.vikali
Labda kama unamzungumzia FA wa sasa, FA wa enzi za mabinti damdam, Alikufa kwa ngoma, Unanitega, Bado niponipo, nyota ilikuwa inang'aa
 
Labda kama unamzungumzia FA wa sasa, FA wa enzi za mabinti damdam, Alikufa kwa ngoma, Unanitega, Bado niponipo, nyota ilikuwa inang'aa
Kweli kabisa alikuwa anang'ara kama super nova.
Ila f.a wa kitambo alikuwa anajua aisee...

tuliza boli.
 
Kweli kabisa alikuwa anang'ara kama super nova.
Ila f.a wa kitambo alikuwa anajua aisee...

tuliza boli.
Sema raia sahivi hawamfeel sana tangia amejiingiza kwenye lile bifu la Jide na Ruge
 
Back
Top Bottom