Bill Gates akiwa na baba yake

Agent mkubwa wa Shetani huyo hatuwazii mema hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
We msabato acha uchawi utaikosa pepo kwa kuwawazia mabaya wenzako,wewe unadhani Bill Gates uwepo au usiwepo unampunguzia nini wewe?

Nashangaa Mtanzania hata kutengeneza tooth pick huwezi upo unalia lia hapa kwamba mzungu anakuchukia akuchukuie au akuogope wewe una lipi la kumtisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba yake amepanda vizuri.
Atakuwa hata "maumbile" yake ni yale ninayo yapenda.
 
Kwa kawaida wanaowaita wenzao agent wa shetani huwa ni mashetani wenyewe original
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…