Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 799
Huyu mzee nilikuwa namheshimu tangu enzi za COSBY SHOW na sasa hivi ana command so much respect toka kwangu kwani anazungumza mengi ambayo baadhi ya watu hawayataki lakini yote ni katika kutake responsibility of our actions.Jana niliirekodi hii na nimeingiza on ZSHARE and frankly speaking he just handled himself in typical Cosby fashion... "I will tell the truth and get criticized for it."
http://www.zshare.net/video/42398243dc82bf/
http://www.zshare.net/video/42398243dc82bf/