Bill Clinton awa kivutio kwenye msiba wa Mohammed Ali

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,527
865
Rais huyu wa zamani ameonekana amekuwa kivutia ktk tamasha la kumuaga bondia nguli MOHAMEDI ALI..

Lakini si hivyo tu, kati ya watoa mada mmoja aliyepata fursa ya kuzungumzia maisha ya ALI alipeleka ujumbe moja kwa moja kwa wananchi ukipitia kwa BW CLINTON, kwenda kwa mama Clinton kama vile yule mama tayari ni raisi.

Je, inawezekana msiba ule kutumika kama kumkampenia yule mama?
 
Back
Top Bottom