Bilioni moja za Mheahimiwa VS Serengeti Boys.

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,003
Kweli cha mtu huliwa na watu.
Ndo tuseme Bilioni moja alizotoa mheshimiwa raisi kwa timu ya vijana ya Serengeti Boys ndio zimeondoka kwa aibu ya kipigo kile?
Pamoja na kuwa mwenyeji wa mashindano bado timu imeshindwa hata kuondoka na point moja mpaka inayaaga mashindano?
Naamini hapa kuna watu inabidi wawajibishwe,na pesa warudishe.
Ni aibu mpaka sasa wahusika kukaa kimya kana kwamba hakuna lililotokea!!!
 
Kwani timu ya Wakubwa Taifa Stat ingecheza na hizo nchi ingeondoka na pointi ngapi?
"Like Fadher Like Son"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom