Bilioni moja ni chicken feed kwa MO lakini...

Write your reply...
tatizo kibongo bongo hiyo bilioni mzeebaba inaweza ikakutokea puani!!?..polisi wa bongo aisee hawanaga dogo!!
 
Nijuavyo mm kijakazi flani hawa jamii ya Asia wanamambo ya kiza sana (wafanyakazi wa wahindi wanalielewa hilo nimewauzia simu sanaa)hivyo basi ukiona wametoa 1b ujue na wao wameangazia kwa njia wazijuazo ila patupu
 

Mimi nawapa pole familia hii, ila pia nawapongeza sana kwa kuwa watulivu na pia kuthamini mchango wa Serikali katika sakata zima. In fact wameonyesha mfano wa kuigwa. Hawajaonyesha kupaniki wala kuanza kusikiliza rumours kutoka kwenye mitandao ya jamii, wako focused na tatizo tu kama familia. Mungu azidi kuwaongoza na ninaamini atajibu maombi yao na yetu pia. Tuko pamoja nao!
 
yani hapa najiuliza !
mi ndugu yangu awe amepotea !
halafu niwe nasikiliza niambiwe usimtafute kwa njia hii!
WELL ,haya lakini!
 
so familia inasubiri iambiwe hatujaweza kumpata ndo waaanze kumsaka!
au familia inasubiri iruhusiwe kumtafuta?
NAULIZA TU!
 
Uko sahihi kabisa lakini pia msidhani kuwa watekaji ni wajinga kihivyo wakubali chambo chao kiharibiwe.... Wanafuatilia kwa karibu kabisa kila taarifa na wanazifanyia kazi
Hivi mkuu unafahamu hamna siri huku duniani?
 
Mwaka 2005 mtanzania aliyekuwa anajua mahali aliko Osama alienda kureport ubalozi wa Marekani Tanzania, hii ilikuwa baada ya US kutangaza dau la $27,000,000 sawa na Billion 61 za kitanzania. Yule jamaa hakupata hata shilingi achilia mbali kuwarecognised. Mwishowe akaishia kufungua kesi..........Unaweza kutoa taarifa na usipate kitu......ukiwa na taarifa andikishana nao kabisa mkataba
 
Kabisa mkuu naamin waliomteka hawapo tena Tz, na pia huenda hata wao hawajui yuko wapi kwa sasa
 
Tatizo anaetoa pesa sio mwwnye tatizo I mean c More mwenyewe pia hata akipatikan hatairudisha so familia imejikuna vile inavoona.
 
Aisee hawa watu(watekaji) unatuvunja moyo ktk kuspeed up kufikia level kubwa...mana sometimes unaweza sema ni bora tu uwe maskin kwa kufikiria unaweza ishi wa amani rather than kuwa na hela mob....mana unahisi ukiwa tajiri msokoto ni kama kawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…