Bilioni moja ni chicken feed kwa MO lakini...

Mshana acha utani bro, hio ni hela yako ya pensheni ya kutunza maiti kwa zaidi ya mara 8! Acha masihara na B moko kaka!!!
Jifunzeni kusoma kitu na kukielewa jamani hebu cheki tena heading inasemaje....
 
Leo nmekushusha hadhi Mkuu,, wewe na ulozi wako wote umeshindwa kujua mahali ambapo MO yupo,, Kweli we bure kabisa ,,ulozi Kumbe hauna faida,,, =
Asante naamini utanitunuku na cheti kabisa
 
amekuambia kuipata hiyo 1b ni issue moja na utaishije baada ya kuipata ni another issue. Huenda anaogopa msako usije hamia kwake akapotea akamwacha Demiss bure!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wameandaaje usalama wa mtu huyo atakayewapa taarifa???
Au naye itabidi baada ya muda familia itangaze dau kwa atayemuona???
That's family sympathy but in real sense is difficult
 
bado nipo mitamboni.nimemwambia babu mia tano zake, mia tano zangu.
get rich or die.....
 
Ivi kwann wasiagize investigators kutoka nje?
Kabla ya hao kuna
Liberty desk
Snowden
Na marekani anaweza kuwa na taarifa zote kwa hakika kabisa
Liberty desk ni taasisi yenye matawi dunia nzima... Ina kila taarifa muhimu na ya siri kila dakika kila saa popote duniani, kuanzia magenge ya mafia, biashara haramu, ishu za serikali nk
Snowden ni mdukuzi mahiri
Mmarekani ni mbea aliyejipa ukiranja wa dunia.... Kama akiona jambo fulani ana maslahi nalo atatafuta mbinu mpaka lijulikane, akiona hana mahaba nalo atalipotezea
Kwasasa jambo hili liko ngazi ya CLASSIFIED INFORMATION.... Wanalijua wale wanaotakiwa kulijua tuu.. Na kwa mtu kama MO si ajabu hata wale waliomteka hawapo tena nchini na hawajui alipo
 
Tusijisumbue ndugu yangu sisi tutafute tu hizi za ndele na chumaulete....
 
Mkuu Nasikia eti umechungulia "darubini" na umeona mo aliko, hutaki mafweza?
 
Mkuu Nasikia eti umechungulia "darubini" na umeona mo aliko, hutaki mafweza?
Sio kweli[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mkuu vipi ? Cheki na zile rada zenu wakati mwingine plan B ni muhimu kama plan A imefeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…