Bilioni moja ni chicken feed kwa MO lakini...

Wan consult tb joshua bushiri gwajima mzee wa upako sharifu majini yaani wazugaji wote arobain yao imefika
 
Wameandaaje usalama wa mtu huyo atakayewapa taarifa???
Au naye itabidi baada ya muda familia itangaze dau kwa atayemuona???
 
Kitendo cha kuambiwa wewe, tayari ni alama tosha
 
Familia ya MOO kama wako serious

Watoe advance vijana tuingie kazini[emoji12]
 
$440,000 ni hela ndogo kwako? Hata kwa familia iliofikwa na janga hio si hela ndogo. Mnaposoma mtu ana utajiri wa $1.5b mnadhani akaunti yake benki inasoma hivyo.....hapana.
Ni kweli ndg. 1b Cash ni kitu kingine. Labda kwa asiyejua masuala ya pesa.
 
kaka nimekuelewa vema manake sie tunaagalia upande mmoja tuu..1B bt kumbuka hata ukichezea tuu zile namba walizotoa ni issue ya kufuatiliwa kimyakimya
 
Uko sahihi kabisa lakini pia msidhani kuwa watekaji ni wajinga kihivyo wakubali chambo chao kiharibiwe.... Wanafuatilia kwa karibu kabisa kila taarifa na wanazifanyia kazi
 
$440,000 ni hela ndogo kwako? Hata kwa familia iliofikwa na janga hio si hela ndogo. Mnaposoma mtu ana utajiri wa $1.5b mnadhani akaunti yake benki inasoma hivyo.....hapana.
Whatever the case that amount is not much compared to what he have!
 
Mbona unatisha watu Somoo, vp uganga wako haujakuonyesha alipo MO.. Kuanzia leo nimeamini waganga wanatudanganya sisi masikini... Na kutupa ujasiri bandia
Waganga hawafanyi kazi za kujitolea
Waganga hawamfuati mteja
Waganga huhitaji ushiriki kamili wa wahusika
BTW the way haya mambo ni binafsi na siri
 
Mshana so tuingie chimbo hivi tukianzia bagamoyo, tukapanda tanga, tukaenda kigoma, kisha sumbawanga alafu tukamalizia Malawi hatuwezi kujua jamaa yupo wapi kupitia darubini.com ya uhakika tukapiga hiyo billion moja tukaenda visiwani kupunguza stress za marudio ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…