MBUTAIYO
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 683
- 393
Ndio huyo haswaa!Hivi huyu ndiye yule Idd Simba ambaye ni mwenyekiti wa 'wazee wa DSM' amabo mheshiwa Rais anawatumia kuwakilisha ujumbe kwa watanzania wote ikiwa kuna jambo tete nchini kama mgomo wa wafanyakazi/ madaktari n.k ? mwenye kujua naomba anijuze tafadhali.