Na yale mavifaa mabovu/chakavu yaliyouziwa jeshi letu. Mkapa aendelee kulaaniwa huko kuzimu aliko.Huyu si ndio alikuwa dalali wa RADA mbovu kipindi cha hayati Benjamin?
Na yale mavifaa mabovu/chakavu yaliyouziwa jeshi letu. Mkapa aendelee kulaaniwa huko kuzimu aliko.Huyu si ndio alikuwa dalali wa RADA mbovu kipindi cha hayati Benjamin?
Mmh!,msamehe bure ,urais ni taasisi,pengine aliingizwa chaka na wajanjaNa yale mavifaa mabovu/chakavu yaliyouziwa jeshi letu. Mkapa aendelee kulaaniwa huko kuzimu aliko.
Ngoja nikupuuze, maana yawezekana kuna kipele kinakuwashaaaaa....Baadae wanafuata makapuku kama wewe.
Fungukeni hapa wakuu tuonyesheni njia ndo maana tupo hapaNi wachache wataelewa hii connection unless uwe kwenye power corridors.
gabachori, sio bagachoriHawa ndio Marehemu Mtikila aliwaita Mabagachori
Huyu Mdau enzi zake alitesa sana, hata Ultimate Security ilimhusu. Ama kweli hapa duniani wote ni wapitaji.Enzi za JK ikulu palikuwa kama kwa msela wake...daah pumzika ulipojiandalia capitalist Somaiya
kabisaHuyu Mdau enzi zake alitesa sana, hata Ultimate Security ilimhusu. Ama kweli hapa duniani wote ni wapitaji.
Misiba yao iko private sana hawaMsiba wa tajir WAGEN HAWATAKIWI
Msiba wa masikini NYOTE MNAKARIBISHWA
Alikuwa na chopper yakeHuyu Mdau enzi zake alitesa sana, hata Ultimate Security ilimhusu. Ama kweli hapa duniani wote ni wapitaji.
Kweli duniani tunapita.Alikuwa na chopper yake
Muda mwingi ilikuwa inapaki sea cliff
Nahs sahv familia yake inauza properties na vitu vyao hapa tz
Ova
Pia hawatak mambo ya unafikiMisiba yao iko private sana hawa
ova
Kila kitu tunaacha dunianiKweli duniani tunapita.
Ukibahatika onana nayePia hawatak mambo ya unafiki