Bilionea mwingine huyo hapa. Unadhani atakemea wizi, uuaji, uporaji etc? Never!

Bilionea mwingine huyo hapa. Unadhani atakemea wizi, uuaji, uporaji etc? Never!

Ati nchi masikini haaaaaa. Marupurupu hadi afe

New Zealand waziri mkuu pension yake sawa karibu na pension ya mfagizi wa ofisi. Huku kwetu kufuru

siyo kweli, na hakuna kitu kama hicho dunia hii, pension system dunia nzima ni kama hufanana, unallipwa kulingana na muda uliochangia na kiasi ulichochangia ambacho kinaendana na ukubwa wa mshahara wako i.e cheo chako, kwa hiyo unataka kusema mshahara wa kiongozi mkuu wa new zealand ni sawa na wa mfagizi wa ofisi huko new zealand? no way, labda ungesema kwamba anatoa pension yake kama sadaka kwa uamuzi wake binafsi iende kusaidia ambao wana pension ndogo lkn kusema kwamba officially pension ni ndogo kama mfagizi hilo mathematically haliwezekani.

hakuna shida yoyote ile mtu kulipwa kipato kikubwa kama kinaendana na kazi aliyoifanya maadamu its legal and on merit, tatizo liko kwenye wizi na ufisadi ambapo fedha zilizotakiwa kwenda kujenga shule, kuhudumia watoto zinaibiwa na mtu mmoja hilo ni tatizo lkn kama ni malipo halali hakuna shida yoyote na ni uamuzi wa mtu binafsi jinsi ya kutumia na kuinvest malipo yake halali ...
 
Back
Top Bottom