SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Bilionea tokea Pande za Kyela ameahidi kuchangia Chama Chetu kwa 50 b TZS ili kufanikisha kampeni za CCM mwaka huu
Kwanini asitende wema kwa kuistawisha Kyela ambayo iko vibaya ki miundombinu. Kyela mjini hapako vizuri panahitaji ukarabati mkubwa wa mitaa na taa za mitaa.Bilionea tokea Pande za Kyela ameahidi kuchangia Chama Chetu kwa 50 b TZS ili kufanikisha kampeni za CCM mwaka huu
Hana hio Hela uyo jamaaKwanini asitende wema kwa kuistawisha Kyela ambayo iko vibaya ki miundombinu. Kyela mjini hapako vizuri panahitaji ukarabati mkubwa wa mitaa na taa za mitaa.
Anazipeleka CCM si kwa sababu mungu wake ni wa CCM bali kwa sababu zitarudi kupitia msamaha wa kodi.
Huyu si yule anayeruka na machopa, na juzi slienda Kyela na msafara wa magari miatano, wanasema wakati gari lake limefika Kyela gari la mwisho lilikuwa Uporoto kutokana na urefu wa foleni yake.Hana hio Hela uyo jamaa
Unampangia mtu matumizi ya pesa zake,we fala nini!?Kwanini asitende wema kwa kuistawisha Kyela ambayo iko vibaya ki miundombinu. Kyela mjini hapako vizuri panahitaji ukarabati mkubwa wa mitaa na taa za mitaa.
Anazipeleka CCM si kwa sababu mungu wake ni wa CCM bali kwa sababu zitarudi kupitia msamaha wa kodi.
Fala ni wewe unayetanguliza matusi mbele badala ya hoja ili uonekane mtoto wa mjini.Unampangia mtu matumizi ya pesa zake,we fala nini!?
jicho la 3? kwani huyu chifu gudulavu, anatoa mixx by yas?Kachangia Bilioni mbili za Kitanzania.
Acheni upotoshaji na uzushi.
Lakini huyu kijana kiboko, nilidhani angetoa around 100-500 millions lakini kumbe kweli ni 🔥 🔥 🔥.
Kweli jicho la tatu linalipa
Kwahiyo umeamini huo upuuzi?Kwanini asitende wema kwa kuistawisha Kyela ambayo iko vibaya ki miundombinu. Kyela mjini hapako vizuri panahitaji ukarabati mkubwa wa mitaa na taa za mitaa.
Anazipeleka CCM si kwa sababu mungu wake ni wa CCM bali kwa sababu zitarudi kupitia msamaha wa kodi.
Ahahaha 🤣 🤣 🤣 ile mix by Yas ni jicho jingine halina uhusiano na jicho la tatu ndugujicho la 3? kwani huyu chifu gudulavu, anatoa mixx by yas?
Hata hivyo billion 2 parefuKachangia Bilioni mbili za Kitanzania.
Acheni upotoshaji na uzushi.
Lakini huyu kijana kiboko, nilidhani angetoa around 100-500 millions lakini kumbe kweli ni 🔥 🔥 🔥.
Kweli jicho la tatu linalipa
Nimetanguliza hoja hapo,fala limekuja mwishoFala ni wewe unayetanguliza matusi mbele badala ya hoja ili uonekane mtoto wa mjini.
Mnyakyusa hata akiwa na pesa anaonekana kama JOTI tu. Sijui wanakuaje wale jamaaHuyu si yule anayeruka na machopa, na juzi slienda Kyela na msafara wa magari miatano, wanasema wakati gari lake limefika Kyela gari la mwisho lilikuwa Uporoto kutokana na urefu wa foleni yake.