Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Nilikuwa nabana?Siku hizi umepwaya sana. Kwa nini lakini?
Mpaka unajamba.Nilikuwa nabana?
Jiongeze kidogo .nimeutafuta huo uongo hadi macho yanauma.
non-palatable bandiko...
Hembu katunge kitabu kingine cha ujasusi na huku siku hizi hakukufai tangu uyalambe matapishi yako 2015Yapo mambo nikiwaangalia na kuwasikiliza waswahili wenzangu nabaki kucheka na kujionea huruma mimi na wanizungukao... Nchi yangu imekuwa nchi ya ngano za vibarazani na uongo wa mchana kweupe ambao hata mmiliki wa uongo yule apewaye jina baya japo kimsingi simbaya yule aitwaye shetani anatuogopa...
Bill Gates kaja kuwekeza Tanzania? Bill Gates kaja kwakuwa anaipenda Tanzania saaaanaaa? Daah my God... Uwekezaji ni sayansi inayouhusu utafiti na faida sio siasa, ni jambo mtambuka linalozingatia sera za taifa unalotaka kuwekeza na hulka za wanamaamuzi wa eneo husika. Naipenda sana nchi yangu, lakini uongo huu hauwezi kuwa tiketi ya uzalendo... Uzalendo wa aina hii siutaki kabisa.
Ulale pema peponi bilionea Faustine Mrema, ulikuwa alama ya ukwasi Duniani, uliitambulisha nchi yetu machoni pa dunia, wewe ndio umewaleta mataifa na mahasidi pamoja katika ardhi ya Tanzania.
Na Yericko Nyerere
View attachment 564818 View attachment 564819
Nani kasema alikuja kuzika?Kwa maana hiyo bill gates alikuja msibani kumzika Mrema...kweli siku hizi umepwaya ile mbaya..wakati tayari slikywa na shirika lake la kuwekeza la merinda and gates muuuuda na lilishaanza shughuli zake cku nyingi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
One love mkuuMimi akili kubwa nimekuelewa sana , nawapa pole akili ndogo .
Kwa tz BG hasemi bali anasemewaKweli lakini, ukiangalia BG hasajesema kama anawekeza, zaidi ya kusaidia mambo ya afya, twataka mfano wa "Silicon Valley" hapa TZ, na sio vyandaruwa na panadol..
Kama una macho na huoni, una masikio na husikii, una pua na hunusi, wewe ni mfuHebu tuoneshe huo uongo ni upi na sio kuropoka tu
nimeshajiongeza hadi anachotaka kumaanisha lkn bado inaonekana anataka kutuaminisha hata huu sio uwekezajihttp://www.thecitizen.co.tz/News/Bill-gates-donates-Sh777-billion-to-Tanzania/1840340-4052706-msxj8xz/index.htmlJiongeze kidogo .