Pole sanaHabari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka utumbo mdogo kuingia katika tumbo, tumbon ni acid na utumbo una alkaline sasa vikiwa mixed ndo inatokea hicho kitu kama moto tumboni pia nikaonekana nina michubuko tumboni, nilipewa dawa protonex 40mg na gel lakini shida ndo kama vile inazidi mtu yoyote aliyepona tatizo kama langu naomba msaada nateseka siwezi kula maisha yangu yamekuwa ya huzuni
Sawa asante sana nduguAnza hiyo tiba jioni ya leo kabla ya chakula cha usiku.
Chemsha chai tumia hivyo vitu.
Asante sana nduguPole sana
Asante sanaPole sana
Nilisahau jambo muhimu.Sawa asante sana ndugu
Ndugu unahitaji tiba ya kweli na tiba hiyo inaanza na wewe ulaji wa vyakula achana na ulaji wa wali, maharagwe, na vyakula vya asidi. Unaweza angalia vyakula hivi Organic foods you must know Alafu tumia viungo vingi kwa wiki mbili kwenye chai Yako usitumie sukari badala yake tumia asali au tende tende pia huwezakutumika kuteneneza sukari google utaona. Kwa ushauri zaidi ni DmHabari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka utumbo mdogo kuingia katika tumbo, tumbon ni acid na utumbo una alkaline sasa vikiwa mixed ndo inatokea hicho kitu kama moto tumboni pia nikaonekana nina michubuko tumboni, nilipewa dawa protonex 40mg na gel lakini shida ndo kama vile inazidi mtu yoyote aliyepona tatizo kama langu naomba msaada nateseka siwezi kula maisha yangu yamekuwa ya huzuni
Kweli.Ndugu unahitaji tiba ya kweli na tiba hiyo inaanza na wewe ulaji wa vyakula achana na ulaji wa wali, maharagwe, na vyakula vya asidi. Unaweza angalia vyakula hivi Organic foods you must know Alafu tumia viungo vingi kwa wiki mbili kwenye chai Yako usitumie sukari badala yake tumia asali au tende tende pia huwezakutumika kuteneneza sukari google utapona. Kwa ushauri zaidi ni Dm
Bado aiseee nahangaikaMkuu ulipata tiba gani?
Unaendeleaje?
Pole mkuu.Bado aiseee nahangaika