Bilali kazini

Vp imeingia...

Hahahahaha,kweli wewe msema hovyo!
Yaani nilitegemea title la thread kama hii nilikute jukwaa la MMU!

Sijui anagugumia nini,maana naona picha tu hapa
 
Mwenye macho hambiwi tiza (angalia)
 
Msemaovyo we kiboko! Loh!

Ila hapo naona kama bandari au kwenye yadi flani ya makontena, afu bilal na wengine wanamsikiliza jamaa kwa makini, sijui anawachakachua nini hapo....huyo jamaa anaefanana na AL HADAWI ni nani?? wanaomjua watujuze! inawezekana KIMEO kingine kinasukwa hapo!
 
wanajadili maandeleo ya Taifa,wana hekima.
sio wale wapenda sifa kwa maandam***
wenzenu wanatekeleza nyie manapayuka tu.
kila la kheri waheshimiwa WATANZANIA tunawategemea.
 
Samahani wandugu,ina maana akifa mkwere,kabla ya 2011(siombei hivyo,bali mapenzi ya Mungu yatimizwe)huyu mpemba atakuwa rais?
 
Samahani wandugu,ina maana akifa mkwere,kabla ya 2015(siombei hivyo,bali mapenzi ya Mungu yatimizwe)huyu mpemba atakuwa rais?
 
teh! teh! AL-ADAWI Brigedia Mstaafu, wanafanana! Huyo ni nani wadau? Mtujuze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…