Bilal Waikela ni nani?

Mkuu, hao viongozi wenyewe wanasisitiza ukabila!! Walipaswa kuuonesha umoja kwanza kwakutotoa kauli zenye viashiria vya ukabila na udini. Watoto huiga wafanyacho wazazi wao
 
Dah umenifurahisha mno ndugu.
 
Nimekufurahishaje ndugu yangu?
Dini za watu zinatufanya tuumizane bure. Babu zetu walimuomba Mungu chini ya miti mikubwa na mawe makubwa na Mungu akaleta mvua,akawaepusha na balaa na mikosi na pia waliishi kwa furaha na amani. Hizi dini zilizoletwa na meli na ndege zimetuletea shida sana tunachukiana pasipo sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…