Bila Yanga kucheza final CAFCCL, Simba asingefika huko

Ahsante Yanga kwa kuonyesha mwanga wa Taifaaa ...[emoji23][emoji23]

Pamoja na kuwa mchambuzi maarufu hapa jamii forum pia mwanachama wa Simba ....ila nakubali kuwa Yanga walituchongea njia ya kwenda final......hivyo tumejifunza mengi Kwa Yanga mfano
Huo ndo ukweli.
 
Simba tunacheza fainali ya pili. Hii tunabeba maana tumechoka kucheza fainali kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…