Bila Yanga kucheza final CAFCCL, Simba asingefika huko

We nae hutulii unaumbuka kila siku duuh..sisi malengo yetu yalikua ni kuingia Nusu fainali hizi nyingine ni bonus tuu za kuwa na wachezaji wazuri wenye nguvu na Ari wakiongozwa na kocha mwenye maono...upoooo ughweee?
Sema msimu huu huko umamani cup timu ni dhaifu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Simba na yanga zote zimefika fainali kwa bahati,, hakuna katika hizo timu mbili iliyokua na malengo hayo mwanzoni kwa msimu....
 
Simba na yanga zote zimefika fainali kwa bahati,, hakuna katika hizo timu mbili iliyokua na malengo hayo mwanzoni wa msimu...Tunaambiwa Simba iliwahi kucheza fainali 1993,,, nayo pia ilikua ni bahati.
 
Nataka kujua kama wewe ni JK au Mzee manara na km sio sihangaiki nawewe tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…