Bila Yanga kucheza final CAFCCL, Simba asingefika huko

Ya mwaka huu haikua na challenge sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Haikuwa na challenge sana halafu mmeshindwa kuingia robo fainali,ujue nyie bila marefa wa bongo na matawi yenu ni weupe sana.Nyie endeleeni kutamba kwenye ligi ambayo makipa wanafukuzwa kwa kupokea rushwa na kuwapangia vikosi matawi yenu vya kucheza na nyie
 
Refer Ile robo tupo na mamelod

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
na nyie ni tawi letu maana kiminyo mnakula vile vile
 
Ime share experience Kwa Simba ...Kwamba haya mambo yanawezekana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Bila simba Yanga asingefika popote Mataifa Africa,

Baada ya simba kuingia Robo mfululizo Tanzania na sisi tukawa Pot 1, kabla ya Hapo ilikua Ili Timu ya Tanzania ifuzu makundi ni hadi wacheze na timu za North Africa tukawa tunatolewa mapema tu, juhudi za Simba zikafanya na sisi tuwe rank ya juu na kupangwa na Vibonde hivyo kurahisisha safari ya makundi.
 
Sababu nyepesi hyo mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…