Bila Yanga kucheza final CAFCCL, Simba asingefika huko

Acha ujinga wewe Chura, mbona Utopolo hamkufika fainali baada ya 1993 Simba ilipofika fainali kwa mara ya kwanza.

Simba ilifika fainali Caf Cup 1993 na kufungwa na Stella Abdijan kwa jumla ya magoli 2-0 uwanja wa Taifa au Uhuru kwa sasa mbele ya mgeni rasmi Ali Hassan Mwinyi akiwa rais wa Tanzania wakati huo. Alikabidhi kombe kwa Stella na medali kwa Simba.

Wengi wakidanganywa na viongozi wao wa Utopolo kwamba lilikuwa kombe la Mashud Abiola wanakubali bila kujua Abiola alikuwa mfadhili kama alivyo leo Total Energies. Yakaitwa mashindano ya cafcc Total energies au kwa ligi yetu kuitwa NBC au Uingereza na Carrabao.

Acheni ujinga nyie utopolo
 
Mnadhalilika sana...mnakosea sana kujifananisha na Simba...
 

Attachments

  • Screenshot_20250428_100528_Chrome.jpg
    193.8 KB · Views: 15
Sasa nini kinachokuuma Simba akifika fainali unabaki kujilinganisha nae.

Fanya yako utwae ubingwa wa Africa, utaishia kununua makipa wa NBC ili ufunge magoli mengi
 
Hiyo ni abiola cup mkuu...unachanganya mambo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Fake page hyo mkuu

Soma hyoView attachment 3318538

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hujui Kiingereza kijana, kuhusu first ever wanamaanisha CAFCC, wakati wa kipindi cha English wewe ulikuwa unaweka vioo chini ya sketi za wadada ukiwachungulia
Hiyo ilikuwa ni bonanza la abiola cup....ngoja nitaleta chapiso lake soon

Sent from my TECNO KG5j using Jamiiforum s mobile app
Leta chapisho kutoka website rasmi ya CAF,sio la wenzako na Mwalimu Yanga ambao mnalingana akili.Hili nililoweka ni kutoka website rasmi ya CAF, najua lugha haipandi ila tafuta mtafsiri
 

Attachments

  • Screenshot_20250428-092219.png
    268.4 KB · Views: 14
Hujui Kiingereza kijana, kuhusu first ever wanamaanisha CAFCC, wakati wa kipindi cha English wewe ulikuwa unaweka vioo chini ya sketi za wadada ukiwachungulia!
Ndo matatizo ya kusoma kayumba ....ungesoma international kama mm usingepatashida neno first ever ( Kwa mara ya kwanza ....au huko nyuma Haijawahi tokea)

Bado hujachelewa....njoo Kwa RAS SIMBA mbeya tujifunze ngeli[emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…