Walikuwa wanaenda kufanya live coverage kwa kuzamia tu Unadhani wanaenda kilabuni? Hata kwenye michezo live coverage huruhusiwa na sponsor.
Kwani mwanzo walikuwa wanazuka tuu bila taarifa.?
live coverage zinazozungumziwa hapa ni za ikulu,ambazo si ruhusa kuzifanya isipokua kwa ruhusa maalum
Kwani ziliwahi kufanywa bila bila ruhusa maalumu hizo live coverage
Walipitaje getini Na mitambo yao? Live coverage ungejua maandalizi yake ungefuta post yako.
Tuacheni ujuha na ushabiki. Ikulu ni sehemu nyeti kwa nchi yoyote. Juzi ITV walikuwa wanazunguka maeneo mbalimbali ndani ya Ikulu wakiwa live kila mtu anaona lazima tuwe wakweli haikuwa sahihi ki usalama wa nchi yoyote. Mimi nakubaliana na hoja kukiwa na tukio lolote vyombo vya habari viombe kibali vipewe mwongozo ni maeneo gani wanaruhusiwa kurusha live. Siyo kila eneo linarushwa live kila mtu anaona. Tusijitoe ufahamu juu ya usalama wa nchi kana kwamba hatuelewi kwamba usalama wa nchi yoyote kitovu chake ni Ikulu
Wanakumbushwa.
Acha kupotosha jamii. Hata kwa Obama huingii ovyo, zaidi ya conference room ambapo Raisi anaonyeshwa akiongea na media, hawaonyeshi mazingira ya white house ovyo. Acheni kupotosha watu.Ikulu kwani kuna mabomu ya nuclear?white house kwa obama kwenyewe hadi ndani tunaonyeshwa na ndio ofisi nyeti sembuse hicho kigorofa hapo magogoni?mnajitoa sana ufaham na nyie
Tuacheni ujuha na ushabiki. Ikulu ni sehemu nyeti kwa nchi yoyote. Juzi ITV walikuwa wanazunguka maeneo mbalimbali ndani ya Ikulu wakiwa live kila mtu anaona lazima tuwe wakweli haikuwa sahihi ki usalama wa nchi yoyote. Mimi nakubaliana na hoja kukiwa na tukio lolote vyombo vya habari viombe kibali vipewe mwongozo ni maeneo gani wanaruhusiwa kurusha live. Siyo kila eneo linarushwa live kila mtu anaona. Tusijitoe ufahamu juu ya usalama wa nchi kana kwamba hatuelewi kwamba usalama wa nchi yoyote kitovu chake ni Ikulu
Baada Mkwele kuondoka sasa tunaandika neno 'Mkwele' kwa raha zetu.Kwani huyo Salva Rweyemamu na Michuzi si wanatakiwa waondoke na Mkwele wao? si walipeana kazi kishkaji tu?
Basi Kikwete alikuwa dhaifu kama alikuwa anaruhusu live coverage bila taarifa.Sasa unataka ujiendee tu bila taarifa?
Kama unayo simu yenye uwezo huo hebu jaribu kutafuta hiyo "Google Earth" usearch "Tanzania State house" halafu ulete FeedbackHiyo dunia imepitwa na wakati. Mi nikitaka kujua ikulu pakoje google earth ipo hakuna cha unyeti wowote ule. Ss hapo watakapopewa ruhusa watakuwa wanaonesha mawingu? Kwa hali ya kawaida hata kuingia ikulu lazma upate ruhusa hata kama unataka kwenda kuomba chumvi.
Kwa uandishi huu, hakyamungu hatusongi! Barua imepindapinda mno! Hiyo email hapo juu ni sawa kweli?Mkurugenzi ya habari ya ikulu kianzia leo imepiga marufuku kuchukua live ikulu.
Unaongelea Ikulu hii ya magogoni ambako CIA wanaijuwa kuliko ikulu yao ya Marekani?Acha kupotosha jamii. Hata kwa Obama huingii ovyo, zaidi ya conference room ambapo Raisi anaonyeshwa akiongea na media, hawaonyeshi mazingira ya white house ovyo. Acheni kupotosha watu.