wadau naomba mwenye exposure juu ya nchi zipi mtanzania anaweza kwenda au kuingia huko bila kuwa na viza.Najua kama mtanzania unaingia nchi za uganda na kenya kibiashara au vacation unahitaji passport tu,sasa nifahamisheni ni nchi zipi zingine?
ule muhuri unaogongewa kuonyesha unakaa muda gani ndio visa yenyewe. hivo japo una passport lakin visa unagongewa mpakan.
visa ni kibali unachogongewa kwenye passport kukuruhusu kuingia nchi ya kigeni na kuonyesha utakaa kwa muda gani.
hivo bado ukiingia ug na kenya unagongewa visa mpakani
Unaweza kwenda nchi yoyote iliyo katika jumuia ya Africa Mashariki na nchi za SADCC zote bila kuhitaji viza inayobandikwa kwenye pasport bali utagongewa muhuri tu wa kukuruhusu kuingia na kukakaa siku 30.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.