Bila SpaceX, NASA wameachwa na CNSA ya China kwenye space launch. Finally China imeunda reusable rocket

Bila SpaceX, NASA wameachwa na CNSA ya China kwenye space launch. Finally China imeunda reusable rocket

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
8,102
Reaction score
23,690
Kwenye hizi space program, kuna mashirika yanayomilikiwa na serikali na binafsi.

Mfano serikali ya Marekani ina shirika la NASA na serikali ya China ina shirika la CNSA. Lakini kuna kampuni binafsi mfano Marekani wana SpaceX na China wana LandSpace.

Tukisema mashirika ya serikali ya NASA na CNSA yashindanishwe kwenye space launch yaani program ya kutuma spacecraft angani, utaona la China (CNSA) limeizidi la Marekani (NASA) kwa mbali tangu mwaka 2020. CNSA imefanya space launch nyingi zaidi.

Marekani huonekana imefanya space launch nyingi zaidi kwa sababu inabebwa na SpaceX.

LandSpace itakuwa kampuni ya pili ya China baada ya Spacesail zitakazoshindana na Starlink ya Marekani kwenye kuuza huduma ya satellite internet.


20251023_073619.jpg

Finally kwa mara ya kwanza kampuni binafsi ya anga za juu ya China LandSpace imeifanya China kuwa taifa la pili duniani kuunda reusable rocket. Teknolojia hii ilikuwa nayo SpaceX tu.

A reusable rocket is a rocket designed to be used more than once, with parts like boosters and stages being recovered and refitted for future missions, rather than being discarded after a single launch.


View: https://x.com/elonmusk/status/1980008812477112647?t=6EqpVq_2humTo1RpmpeCrA&s=19
 
Hapo sasa ni Starlink vs Landspace kwenye satellite internet

Hii battle itaenda kuwa kama ya Tesla vs BYD kwenye EVs

Vita ya kiuchumi na kiteknolojia kati ya China na Marekani bado mbichi sana
Na hivi China wameweza kuunda reusable rocket ina maana kuwa watakuwa na uwezo wa kufanya launches nyingi za aircrafts kwa ajili ya satellite internet kushindana na SpaceX na kuwapunguzia gharama za space mission
 
Back
Top Bottom