Tazama jinsi roketi ya China ilivyolipuka muda mfupi baada ya kurushwa angani
Roketi ya China, Long March 7A, ilishindwa kuendelea na kulipuka wakati wa kurushwa kwake Agosti 10 huko Wenchang, Hainan, China.
Vyombo vya habari vya serikali viliripoti kuwa hitilafu hiyo ilitokana na "tatizo lisilo...
Kwenye hizi space program, kuna mashirika yanayomilikiwa na serikali na binafsi.
Mfano serikali ya Marekani ina shirika la NASA na serikali ya China ina shirika la CNSA. Lakini kuna kampuni binafsi mfano Marekani wana SpaceX na China wana LandSpace.
Tukisema mashirika ya serikali ya NASA na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.