Duuu huyu jamaa
1.akijisaidia hamalizi chote
2.kama una tumbo la kuhara na yuko chooni andika umeumia
3.akimaliza haja zake hata akijiswafi harakati
4.akianguka kuinuka ni mind
5.chakula cha watu watano yeye hashibi
Tumuombee obesity ni ugonjwa mbaya sana
Atakuwa TRA au Trafiki huko kusini kusini Lindi au Nangulukulu. Mpaka Kamanda Mpinga amwone ampe unifomu ni kazi. Namhurumia mvua ikimkuta njiani. Mwavuli wake ni turubai nzima ya fuso
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.