Bila Pesa Mwanaume ni Kivuli Tu Duniani

Bila Pesa Mwanaume ni Kivuli Tu Duniani

Hawa viumbe hawaeleweki, vipi ukiwa tayari unakibunda cha kutosha ukagongewa na mfanyakazi wako utawatafsri vipi
Dawa yao ni moja tu Weka hisia pembeni, usilete huruma za kifala kwenye mapenzi Tafuta hela kwa ajili ya mamlaka yako mwenyewe, na ukipata nafasi ya kuwanyoosha, wanyooshe mpaka waombe poo Ukiendekeza upendo wa kipumbavu, utabaki unalipa bili kama bwege huku houseboy wako anafanya kazi yako ya ndani
 
Hawa viumbe hawaeleweki, vipi ukiwa tayari unakibunda cha kutosha ukagongewa na mfanyakazi wako utawatafsri vipi
Hivi mnafikiri wanataka nini hasa duniani, Hakuna! Ni viumbe mambwa wasio na shukrani. Hata uwape maisha ya kifalme, bado limwanamke litatafuta namna ya kukudhalilisha na mtu wa chini yake
 
Ukweli Mchungu

Asili ya Mwanamke ni Ubinafsi Uliopitiliza, Kijana wa Miaka 30 Huna Hela Hata Mama Yako Hakupendi

Wakuu leo nataka niongee na wanaume wenzangu wenye akili timamu. Ngoja niwaambie ukweli ambao wengi wenu mnaogopa kuukabili lakini ndio asili ya hawa viumbe tunaoishi nao Mwanamke hajawahi kuwa na uwezo wa kumpenda mwanaume kwa jinsi alivyo, bali anapenda uwezo wako wa kiuchumi, pesa, na hadhi uliyonayo.

Bila Mungu kutupendelea sisi wanaume akatupa nguvu, akili, na mamlaka ya kutafuta, mwanaume haitajiki hata kidogo mbele ya mwanamke, maana hawa viumbe wana mfumo wa kibinafsi uliopitiliza na wanajiangalia wenyewe tu.

Ukitaka kujua hawa viumbe wana akili za kifala sana kwenye suala la mafanikio, mwangalie limwanamke likifanikiwa kidogo tu kiuchumi, hata kama ni ndani ya ndoa hapo ndipo utakapouona ushetani wake na rangi yake halisi, ataanza kubadilika atakuona takataka ataleta dharau za wazi wazi na atatafuta wanaume wa hadhi yake nje huku wewe mume wake uliyejifanya unampenda kwa dhati ukibaki kuwa kapuku tu unayeshangaa dharau zake.

Acheni ujinga wa kufumba macho nyie mnaosoma hii mada, kwani baba yako asingekuwa na mbinu na uwezo wa kifedha leo hii asingekuwa baba yako, au asingemuingiza mjini mama yako.

Unajitolea kwa hali na mali kumpa mwanamke maisha akiwa hana mbele wala nyuma, lakini jaribu kufeli sasa hivi kiuchumi uone maajabu ya hawa viumbe atakugeuka atakuona hufai, na atahamisha majeshi kwa mwanaume mwingine bila hata kugeuka nyuma, ndio maana nasema ukipata nafasi ya kuwanyoosha na kuwapeleka mchaka mchaka hawa viumbe fanya hivyo bila huruma, maana wao hawana mfumo wa kukuhurumia pale unapokwama maishani.

Hali hii inakwenda mbali zaidi hadi kwenye damu, kwani wewe kijana wa kiume unafikisha miaka 30 huna pesa, utapendwa na nani kwenye hii dunia zaidi ya kudhalilika na kupoteza mamlaka yako yote ya kiume mbele yao kwa sababu huna thamani ya kiuchumi na unakuwa kama kivuli tu kinachorandaranda duniani.

Ukweli mchungu unaouma na kuchoma moyo vibaya mno ni kwamba hata mama yako mzazi, ukiwa huna kitu mkononi na unalegea legea, upendo wake kwako unayeyuka, atampenda na kumuombea zaidi yule mtoto wake mwenye mafanikio na anayeingiza pesa huku wewe akikuchukulia kama msindikizaji tu na mzigo ndani ya familia.

Amkeni nyie wanaume mnaoendekeza huruma na mapenzi ya kitoto, dawa ya hawa viumbe wabinafsi ni moja tu
tafuta hela, pata nguvu, na shika mamlaka yako, ukishakuwa na uchumi imara weka hisia pembeni, watumie kwa faida yako, na usiwape hata chembe ya nafasi ya kukutawala la sivyo watakutupa pembeni kama takataka pale utakapofeli na kukuacha ukishangaa.

NIMEMALIZA.
Ndio maana wanaume wengine wameamua kutafuta pesa nja njia yoyote ili hata kwa misukule.
 
Yupo sahihi, mwanamke ni mbinafsi.
Hatuwezi kuwaepuka ila mbinu za Khushi nao tu ndio zisemwe
 
Back
Top Bottom