Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
Ahadi za CCM na rais kuhusu huduma bure za Afya, kuruhusu maiti, kununua matrekta nk ni ahadi nzuri sana.
Lakini ahadi zote hazina maneno kwa namna gani tutapata fedha za kuweza kuwezesha ahadi zote hizi. Aidha ahadi ya kuepuka kupunguza mikopo mikubwa ya nje, inaenda kuwa supported na nini, kupunguza matumizi ya serikali au kuongeza maoato ya serikali.
Natamani kupata mdahalo na hawa wagombea ili tuulizane kuhusu mikakati.