ndanda masasi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 772
- 1,177
Halafu kinachotoka hapo ni uvundo mtupu
kaka ulishawahi kufanya ziara huko?Aisee utadhani choo cha peponi
Panahitajika usafi wa hali ya juu.
Ukishikwa na Tumbo la Kuharisha, muda wa kusukuma Cheche za Uharisho lazima ziruke na kutapakaa.
Au muda wa kujisaidia Uharisho lazima utapakae
Wanasema environment matters kwamba kitakachotoka hapo ni tofauti kabisa na kile cha vichakanikunya ni kunya tu, choo mbwebwe. hata uweko dhahabu chooni lakini kazi itakayofanyika ni kama ile nitakayofanya kichakani tu.