Bila Masters huwezi kuwa Waziri hapa Tanzania?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,553
Wanabodi,

Kuna issue nashindwaga kuielewa. Ili uwe Waziri , kielimu lazima uwe na Masters au hata digrii moja tu inatosha? Tuachane na mambo ya connection
 
Wanabodi ,

Kuna issue nashindwaga kuielewa. Ili uwe Waziri , kielimu lazima uwe na Masters au hata digrii moja tu inatosha ? Tuachane na mambo ya connection

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni preference ya Mamlaka ya uteuzi. Pia utambue kuwa Masters ni Degree ya uongozi. So sidhani kama linahitaji mjadala hilo
 
Wewe ubunge wenyewe huna unataka ukasomee masters ya uwewaziri
 
Wanabodi ,

Kuna issue nashindwaga kuielewa. Ili uwe Waziri , kielimu lazima uwe na Masters au hata digrii moja tu inatosha ? Tuachane na mambo ya connection

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wenye Phd ndiyo hao hao walamba miguu..yaani mtu una professional yako uliyoisotea afu ati unapewa ka uwazi kwa mashartii na masimango kibao ..useless.
 
Hahaha ccm utawaweza, utakuta wana PhD kutoka chuo cha Amazon Institute lakini hawajui kusoma, hawa ukiwaona popote hata usithubutu kuuliza au kucheka unaweza fungwa maisha au kupotezwa.

Wao wanaelewana lakini.
 
Japo syo sheria lakini kwa mazingira ya sasa waziri anafaa kuwa na hizo phd au master maana itamuongezea confidence pale anapokutana na wafanyakazi wake wa chini katika wizara yake ambao wana elimu kubwa mfano tu wew waziri uwe na diploma alafu wakurugenzi wako wana maphd huko sasa ukitoa maagizo unaweza kuta wanakuchora tu na dip yako mwisho Rais anakuona hufanyi kazi na anakutumbua.
 
Back
Top Bottom