Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Aug 24, 2015 #1 Jana ilikuwa kabla ya kupanda kwenye gari unakabidhiwa Tshirt 10,000 Alafu na kuambia dayamond,wema sepetu,watakuwepo
Jana ilikuwa kabla ya kupanda kwenye gari unakabidhiwa Tshirt 10,000 Alafu na kuambia dayamond,wema sepetu,watakuwepo
The Fact Senior Member Joined Jan 13, 2014 Posts 168 Reaction score 181 Aug 24, 2015 #2 Duh kazi kwelii kwelii 😀😀😀
A Awo JF-Expert Member Joined Apr 12, 2010 Posts 792 Reaction score 477 Aug 24, 2015 #3 Mbona kama Zenj??
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Aug 24, 2015 #4 Magamba yanazidi kugambika huku wasijue nini cha kufanya Huruma sana.
Buntungwa JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 549 Reaction score 310 Aug 24, 2015 #5 Mbuta agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr🙂 🙂
A aligawee JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 507 Reaction score 105 Aug 24, 2015 #6 na magari yao yakakwama kwenye mchanga mpaka jioni hii walikuwa wanahaha kuyakwamua Marire said: Jana ilikuwa kabla ya kupanda kwenye gari unakabidhiwa Tshirt 10,000 Alafu na kuambia dayamond,wema sepetu,watakuwepo Click to expand...
na magari yao yakakwama kwenye mchanga mpaka jioni hii walikuwa wanahaha kuyakwamua Marire said: Jana ilikuwa kabla ya kupanda kwenye gari unakabidhiwa Tshirt 10,000 Alafu na kuambia dayamond,wema sepetu,watakuwepo Click to expand...
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,497 Reaction score 38,347 Aug 24, 2015 #7 CCM Mafuriko Jangwani haaa haaaa.
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,419 Reaction score 82,422 Aug 24, 2015 #8 Hahahaaaaa CCM wana kazi mwaka huu!
MNAMBOWA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 2,050 Reaction score 359 Aug 24, 2015 #9 Lowasa asingekuwa anatetemeka nisingeenda kumwangalia cku anachukua fomu maana babu yangu anaumwa kama lowasa lkn ma dr wanasema tiba iko Nairobi tuu, nashangaa hata lowasa nae hawezi kwenda ni maajabu kwangu jamani
Lowasa asingekuwa anatetemeka nisingeenda kumwangalia cku anachukua fomu maana babu yangu anaumwa kama lowasa lkn ma dr wanasema tiba iko Nairobi tuu, nashangaa hata lowasa nae hawezi kwenda ni maajabu kwangu jamani
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Aug 24, 2015 #10 Imejaza sana