Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

mtu mwenye mawazo/mipango ya kuzima wenzake, kuzima harakati yenye maslahi kwa taifa ni shetani na anapaswa kuogopwa zaidi ya ukoma. ninauhakika unamsingizia lissu maana kwa heshima yake haweza kuamka asubuhi na mipango ya ovu ya namna hiyo.
 
yaani hata machozi yananilengalenga, anapambana na majitu yasiojali watanzania wanaoonewa
Kweli ndugu mimi yamenitoka....unaona mtu anasema SIKATI TAMAA kama ndugu yangu Mnyika, ingawa dogo naye baadae kaamua kuendelea kupambana....wamenifurahisha hawa jamaa
 
Tumeambiwa humu jukwaani kuwa ilikuwa ni kama wameachiwa Tundu Lissu na John Mnyika kututetea wananchi dhidi ya muswada wa hovyo wa mabadiliko ya sheria kwa watumia mitandao ya kielectronic.

Tuambieni michango yao imesababisha ahueni gani kwenye sheria husika.

Nawasilisha.
 
Kweli ndugu mimi yamenitoka....unaona mtu anasema SIKATI TAMAA kama ndugu yangu Mnyika, ingawa dogo naye baadae kaamua kuendelea kupambana....wamenifurahisha hawa jamaa

Huu ni uzalendo wa hali ya juu.
 
Muswada huu ni mbovu kuliko! Lisu ametutendea haki watanzania! Amelitendea haki taifa. Wabunge wa ccm wanapaswa kurudisha posho yetu!
 
Point ya Kipumbavu hiii,kutoka kwa mpu.mba vuuu huyuuuu, sijui kala maharageee huyuuu, Mpuuuuzeni Huyuuuuu!

habari rais wa Tanzania bwana lissu. nitanzania ambayo itakuwa haina mbele wala nyuma kwanza ni Tanzania ambayo haina maadili na hekima kila mtu nikumutendea mwenzie kitu chochote bila kujali kwamba kitendo kile kimeleta asali ngani. lissu. wanaompogeza na kumushabikia waelewe kuwa hakili zaozinakadogo kake ambako huwa kanaziigilia nakuzitibua katika utendaji wake wakawaida. huwezi kumshabikia lissu kama hakili yako haiingiliwi na chombo chochote kile.
 
Kuandika Shida,je! AKILI ndo utakuwa nayo Kweli? Umekula maharage ya Wapiii?
 
Hata mimi nimefurahishwa sana na Kamanda Lissu,
anatoa hoja wajamaa wazunguka zunguka tu, yaani hata kama hawajui kusoma hata picha? Huyu mwanasheria wa serikali ni mbumbu zaidi ya wengine waliomtangulia
 
Sasa kuna uhusiano gani kwa lisu bungeni na chama ACT....ushabiki mwingine bwana....Au lisu mwenyewe amesema ameingia bungeni kukimaliza ACT...huu utakuwa utoto na kumvunjia heshima Lisu uwezo wake si kwa sababu ya chama fulani au mtu fulani ni kwa maslahi ya umma
 
Wanafiki wakusema ndiyoooooooooooooooo.........................leo wamebanwa kisawasa
 
Kuandika Shida,je! AKILI ndo utakuwa nayo Kweli? Umekula maharage ya Wapiii?

wewe mke wa mtu elewa lissu hiyo siyo mali ni taka hana chochote. unajuwa tatizo lako kubwa wewe huyajui malengo ya huyu bwana nadiyo mania umekalia kumupamba kila kukicha hapo hakutetei ila anakuchanganya ili umpe kura yaani hizo nikampeni.
 
Rais Lissu, PM Mnyika nchi itakuwa pazuri
 
wewe mke wa mtu elewa lissu hiyo siyo mali ni taka hana chochote. unajuwa tatizo lako kubwa wewe huyajui malengo ya huyu bwana nadiyo mania umekalia kumupamba kila kukicha hapo hakutetei ila anakuchanganya ili umpe kura yaani hizo nikampeni.

C.ra.p from a Tabula rasa. Ila karibu jf, taratiibu utazoeleka, na bahati yaweza kuwa yako ukapata mume huku. Bahati mbaya mie nimeshaoa, na pia nina mchepuko. Kwa akili yako hufai hata kuwa mchepuko wangu, sitaweza kuwa na mwanamke ambaye hata kuandika hajui!
 
Saizi Spika anamtegemea Zaidi Lisu ili sheria Zipite. Saiz kasimama Mzee Wanyoka ya Makengeza. Sijui kakurupuka toka usingizini.
Kama ingehusu mikataba ya kupiga hela ndefu ungemuona nyoka wa makengeza anavyochakarikia Uenyekiti wa kamati, lakini kwa hoja hiyo acha mzee wa watu aendeleee kusinzia tu.
 
Huyu Lissu angekuwa chama changu cha CCM ningefurahi sana!
Naona anamfundisha Masaju Kazi!

Kwa mtazamo wangu, Lissu ndiye Mwanasheria wa bunge, huyo George Masaju ni Mwanasheria wa Serikali bungeni.
 
Back
Top Bottom