[emoji124]
hahahaaa!!Limao lenyewe ni chachu hulipati bure itakuwaje kwa kitu unachoita kitamu? Sumu yenyewe inauzwa.
Huo sio ujanja bwana, unakaa na mtu amekuzidi 15years, wakati anakua Michael Jackson na Lieon Ritchie ndio wako kwenye hit wewe unakua ni Rihanna, Chriss Brown, Diamon. Hakuna kitu kizuri kama kutoka na mtu ambae mnashare things in common.Na wewe kuwa mjanja tafuta mwanamke mwenye pesa akuonge,vijana wenzio wajanja siku hzi hawapendi kuombwa hela wanataka wamama wenye pesa
Kwenye mapenzi pesa ina nafasi yake, ila kwa jinsi ulivyoeleza kuna walakini....kuwa makini siku hizi kuna public na domestic prostitutes.Kila niyemtongoza na kuanzisha naye uhusiano lazima kias cha pesa kinitoke ili niweze kufaidi tunda la katikati.
Licha ya mara zote kuwaeleza kuwa nawependa kwa dhati na sina pesa lakini linapokuja swala la kuwaomba wanipe pale kati patamu lazima nigharimie kwa kweli naombeni mbinu mbadala