Bila kitambulisho, hutopata huduma yoyote nchini

Bila kitambulisho, hutopata huduma yoyote nchini

NIDA wanasahau Kuwa huduma zote hizo wanahitaji Raia wa kigeni hapa nazungumzia wawekezaji halali
 
Kitambulisho cha uraia anapewa hadi mkimbizi? Anapewa hadi raia wa kigeni? Ama kweli naona mtu anataka awaingize ndugu zake toka uhutuni? Huwezi pewa national ID Kenya, Rwanda, Zimbabwe au popote pale kama wewe sio raia wa nchi husika
kodi zinakusanywa.wameingizwa mpaka kwenye nssf hao kama hujui.
 
Process zinafanana zote ni electronic card NIDA wanatakiwa kutumbuliwa
Hapana, process ya ID nindefu saana kuzidi ya ATM card. Taarifa zako zote kuanzia baba yake na Babu na bibi, zinawekwa humo. Cheti chakuzaliwa chakwako, wewe na chamama na Baba. Ulipo somo shule ya msingi na mengine meeengi sana.
 
Back
Top Bottom