Faru12
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 391
- 235
[emoji38] [emoji38] [emoji38] nimecheka sana aiseeHivyo vitambulisho wanatoa wapi?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] nimecheka sana aiseeHivyo vitambulisho wanatoa wapi?
CRDB sio kitambulisho bro... Ni kadi ya banki. Ao nimekosea[emoji3]Wakajifunze crdb wao unamaliza kila kitu ndani ya nusu saa unaondoka na kitambulisho chako
Kama umeona kapewa mtu sio raia na wewe umekaa kimya, kati ya aliyempa kitambulisho bila kujia kama no raia ama la, na wewe ambaye unajua mtu sio raia ana kitambulisho cha uraia wa tanzania ni yupi mpumbavuKitambulisho cha uraia anapewa hadi mkimbizi? Anapewa hadi raia wa kigeni? Ama kweli naona mtu anataka awaingize ndugu zake toka uhutuni? Huwezi pewa national ID Kenya, Rwanda, Zimbabwe au popote pale kama wewe sio raia wa nchi husika
Apana bro... Cha wazawa kina rangi yake na wakimbizi kina rangi yake, na wawekezaji pia. Wanao ishi inchini kwa viza. Yaani vina tofautiana. Ilimradi kila MTU awe na Database yake. Kiasi yakwamba ukifanya kosa leo ukiwa hapo Dar es Salam, hadi ukafikishwa kwenye vyombo vya dola, ilo kosa wanali horozesha kwenye Database yako, ivo na ivo. Na pia itakuwa rahisi kumtambuwa MTU kupitia alama yavidole inayo beba icho kitambulisho.Kitambulisho cha uraia anapewa hadi mkimbizi? Anapewa hadi raia wa kigeni? Ama kweli naona mtu anataka awaingize ndugu zake toka uhutuni? Huwezi pewa national ID Kenya, Rwanda, Zimbabwe au popote pale kama wewe sio raia wa nchi husika
Mkuu unatumia cha mwaka gani, mbona kitambulisho changu cha Taifa kina sahihi na tarehe ya kuisha mauda wake kabisa!Aliye-disign hivi vitambulisho alitukosea SANA waTanzania. Ni kitambulisho gani hakina sahihi? Juzi kati nimetakiwa kupeleka National ID somewhere nipewe huduma nyeti..kitambulisho kikakataliwa kwamba hakina sahihi yangu. Which is naturally logical!
I am very disappointed na hawa NIDA!
Hicho ni kipya. Vya zaman vyote havina sainiMkuu unatumia cha mwaka gani, mbona kitambulisho changu cha Taifa kina sahihi na tarehe ya kuisha mauda wake kabisa!
Pole sana, hicho cha zamani niliwahi kusikia hata JPM anakikandia kuwa bora hata cha mpiga kuraHicho ni kipya. Vya zaman vyote havina saini
Mkuu usiulize nani mpumbavu soma hio habari hapo juu au hujasoma na kuelewaKama umeona kapewa mtu sio raia na wewe umekaa kimya, kati ya aliyempa kitambulisho bila kujia kama no raia ama la, na wewe ambaye unajua mtu sio raia ana kitambulisho cha uraia wa tanzania ni yupi mpumbavu
Ndani ya wilaya yako kuna ofisi ya NIDA.Hivyo vitambulisho wanatoa wapi?
Acha kudanganya watu. Hakuna umuhimu wa signature kwenye ID!!!!Aliye-disign hivi vitambulisho alitukosea SANA waTanzania. Ni kitambulisho gani hakina sahihi? Juzi kati nimetakiwa kupeleka National ID somewhere nipewe huduma nyeti..kitambulisho kikakataliwa kwamba hakina sahihi yangu. Which is naturally logical!
I am very disappointed na hawa NIDA!
Mbona changu kinayo shekheAliye-disign hivi vitambulisho alitukosea SANA waTanzania. Ni kitambulisho gani hakina sahihi? Juzi kati nimetakiwa kupeleka National ID somewhere nipewe huduma nyeti..kitambulisho kikakataliwa kwamba hakina sahihi yangu. Which is naturally logical!
I am very disappointed na hawa NIDA!
Naunga mkono hojaBinafsi nijawahi kujua ama kuona umuhimu/ulazima wa mimi kwenda kupoteza muda wangu huko NIDAni, eti kwasababu nina haja na hicho kitambulika.
Hivi kwanza kazi ya kitambulisho ni nini hasa....[emoji30][emoji30][emoji30]
NIDA makanjanja tu kama aliyewatuma.Aliye-disign hivi vitambulisho alitukosea SANA waTanzania. Ni kitambulisho gani hakina sahihi? Juzi kati nimetakiwa kupeleka National ID somewhere nipewe huduma nyeti..kitambulisho kikakataliwa kwamba hakina sahihi yangu. Which is naturally logical!
I am very disappointed na hawa NIDA!
Vipya tumeweka sign mzee baba tunavyo sie wanyamwezi.Aliye-disign hivi vitambulisho alitukosea SANA waTanzania. Ni kitambulisho gani hakina sahihi? Juzi kati nimetakiwa kupeleka National ID somewhere nipewe huduma nyeti..kitambulisho kikakataliwa kwamba hakina sahihi yangu. Which is naturally logical!
I am very disappointed na hawa NIDA!
acha upotoshaji,wewe cha kwako ulikipatia wapi mbona hivyo vitambulisho vina sehemu ya kusaini.Aliye-disign hivi vitambulisho alitukosea SANA waTanzania. Ni kitambulisho gani hakina sahihi? Juzi kati nimetakiwa kupeleka National ID somewhere nipewe huduma nyeti..kitambulisho kikakataliwa kwamba hakina sahihi yangu. Which is naturally logical!
I am very disappointed na hawa NIDA!