Hata bila kukuwekea mkataba wenyewe mawazo na kutumia akili inatosha kupata picha ya kinachoendelea na kinachotarajiwa.
Kama umejifanya mjanga na unanitega nakwambia.Naamini wewe na mimi ni sawa.Si mwanasheria na wala hatujausoma mkataba wote,Na asilimia kubwa ya unaowasikia wakiusemea mkataba huu na hata walioamua kuingia mtaani kuandamana ni kama mimi na wewe.Pamoja na hivyo mawazo yetu sote yana maana kusikilizwa na mengine ni utumbo mtupu, Kama umemsikiliza Rostama hawezi kuwa kama wewe na mimi.