Mungu hana dini wala kanisa.Habari wakuu.
Nimeekaa na kuwaza na kuwazua hizi dini zimeletwa tumuogope MUNGU au tumpende MUNGU?
Miaka ya tangu na tangu kulikuwa hakuna dini ila tuliamini kwamba kuna mbaye anaongoza hii dunia na vilinyo ndani yake.Tulitumia miti shamba kupona maradhi.
Je ,Mababu zetu na mabibi zetu hawakuona ubaya wa kuwapokea hivi viumbe vya kizungu?
Ona mashekhe na mapadri wanaishi maisha mazuri ya kujidai na familia yao kwajili ya sadaka zetu.
Kwanini sisi wenyewe tukiomba bila hizo dini kwa MUNGU mmoja hatuwezi kufanikiwa?
Hawa jamaa wametumia kufuli gani la kutufunga akili hadi mkristo akisemwa Yesu anakasirika sana na vilevile mwislamu akisemwa Mtume Muhammad anakasirika....kuna siri gani wametuwekea kwenye mioyo yetu.
Mama anadiliki kuuza shamba akatoe sadaka...alafu badae anaenda kukodishwa tena hilo shamba kwajili ya kujipatia kipato cha kulisha familia.
Viongozi hao wa dini wanajenga mahoteli na kisha waaenda wazee wa kuzini walevi na kadhalika....mbaya zaidi hawataki wajulikane kwamba wao ndio wamiliki wa hizo hotel.
Asee tunapigwa sana pesa na hawa jamaa..
Kwani tukiomba kwajina la MUNGU mmoja kuna shida gani?
NB: Napenda kuelekezwa kama nimekosea.
Ukiwa huna akili unafundishwa kumuogopa Mungu, ila ukiwa na akili zinachaji utajifunzaga kumpenda Mungu.Nimeekaa na kuwaza na kuwazua hizi dini zimeletwa tumuogop
Infro,
Umeongea Sense.!
Usije badilika huko mbele.
Kivipi mkuu?? fafanua
Habari wakuu.
Nimeekaa na kuwaza na kuwazua hizi dini zimeletwa tumuogope MUNGU au tumpende MUNGU?
Miaka ya tangu na tangu kulikuwa hakuna dini ila tuliamini kwamba kuna mbaye anaongoza hii dunia na vilinyo ndani yake.Tulitumia miti shamba kupona maradhi.
Kwanini waone Vibaya? Hao mabibi na mababu zetu walikuwa wakifanya Biashara nao toka enzi na Enzi na Hao Mashetani.Je ,Mababu zetu na mabibi zetu hawakuona ubaya wa kuwapokea hivi viumbe vya kizungu?
Sadaka za nani? Wazungu na Waarabu au Sadaka za Waafrika.... Kejeli nyingine hapoOna mashekhe na mapadri wanaishi maisha mazuri ya kujidai na familia yao kwajili ya sadaka zetu.
WtF. Una maana ya kuomba kitu gani hapo? Kufanikisha lipi?Kwanini sisi wenyewe tukiomba bila hizo dini kwa MUNGU mmoja hatuwezi kufanikiwa?
Sijawahi Kusikia "Yesu atakasirika" au Muhammad anakasirika....umejiuliza ni kinyongo gani umewekewa wewe kwenye roho yako kuandika uwongo huo?Hawa jamaa wametumia kufuli gani la kutufunga akili hadi mkristo akisemwa Yesu anakasirika sana na vilevile mwislamu akisemwa Mtume Muhammad anakasirika....kuna siri gani wametuwekea kwenye mioyo yetu.
Unadhalilisha, unaleta fedheha. Hiyo ni Lugha chafu ya Ukimbari....Mama anadiliki kuuza shamba akatoe sadaka...alafu badae anaenda kukodishwa tena hilo shamba kwajili ya kujipatia kipato cha kulisha familia.
Unachochea, Unafananisha hulka....Wanaozini ni kina nani? Walevi kina nani? Unajua kati ya Kristo na Muhammad walikuwa na kitu gani in common?Viongozi hao wa dini wanajenga mahoteli na kisha waaenda wazee wa kuzini walevi na kadhalika....mbaya zaidi hawataki wajulikane kwamba wao ndio wamiliki wa hizo hotel.
Asee tunapigwa sana pesa na hawa jamaa..
Mungu gani huyo? Yesu ni Mungu? Muhammad ni Mungu?Kwani tukiomba kwajina la MUNGU mmoja kuna shida gani?
Umekuja kutukana , na Unajua hayo.NB: Napenda kuelekezwa kama nimekosea.
Acha makasiriko ya kudanganywa na mgangaHapo una maana Ya Islam Na Ukristo.
....umeshuka, halafu ukaleta Unyanyasaji.....Kutumia miti shamba kuponyesha maradhi na Mungu wapi na Wapi
Kwanini waone Vibaya? Hao mabibi na mababu zetu walikuwa wakifanya Biashara nao toka enzi na Enzi na Hao Mashetani.
...kejeli, na Matusi ' Ati Viumbe' what a bigoted statement!
Sadaka za nani? Wazungu na Waarabu au Sadaka za Waafrika.... Kejeli nyingine hapo
WtF. Una maana ya kuomba kitu gani hapo? Kufanikisha lipi?
Sijawahi Kusikia "Yesu atakasirika" au Muhammad anakasirika....umejiuliza ni kinyongo gani umewekewa wewe kwenye roho yako kuandika uwongo huo?
Unadhalilisha, unaleta fedheha. Hiyo ni Lugha chafu ya Ukimbari....
Unachochea, Unafananisha hulka....Wanaozini ni kina nani? Walevi kina nani? Unajua kati ya Kristo na Muhammad walikuwa na kitu gani in common?
Unachochea, na Kufedhehesha hapo.
Mungu gani huyo? Yesu ni Mungu? Muhammad ni Mungu?
Au ndio yule Mzungu Mungu?
Umekuja kutukana , na Unajua hayo.
Ni kweli dini na madhehebu ni miradi ya watu , cha msingi ni kudumisha mahusiano yako na Mungu , imagine Yesu alimuokoa mwizi msalabani ambaye hakuwa na dini Ila mafarisayo wenye dini wengi waliachwa ..... Viongozi wa dini washageuza dini kuwa biasharaMungu hana dini wala kanisa.
Ni wajanja wachache kwa maslahi yao binafsi walianzisha dini, ku control binadamu.
Religion is a crowd control, Spirituality is the personal relationship with the Divine.
Huitaji kuwa na dini au kanisa kumjua Mungu...
Sasa waafrika walisha potoshwa wanadhani Mungu yupo kanisani na kwenye dini zao tu.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Sawa.Acha makasiriko ya kudanganywa na mganga
Wapi hapo ulipoona hizo sanamu? na Hiyo Imani ya Mababu zetu ndio Ipi?Kilichonishangaza, sanamu ya Yesu ni nyeupe ila la shetani ni nyeusi kama mkaa! Ni ishara gani hiyo? Ni kwa nini hatukuhoji? Ina maana watu weusi ndio mashetani? Ni ukoloni wa aina yake. Hakika imani nzuri ni Ile ya mababu zetu.