Bila CHADEMA nchi haitawaliki

Bila CHADEMA nchi haitawaliki

Chadema ndicho chama kilikuwa kinatuliza hali ya hewa ..

Upinzani wa sasa ndo Upinzani wa GEn Z
Zingatia swali😎
11-03-2025-11-20-36-am-4114517.jpg
 
CCM kwa miaka mingi walizipenda sana siasa za akina Mbowe na Lipumba, za kukutana nyuma ya pazia na kupozana kimya kimya baada ya kuvuruga uchaguzi.

Hizi siasa za akina Lissu na Heche za kupambana mpaka kieleweke, naona zimewatoa kabisa kwenye mstari.
 
21.01.2025 Historic day in the politics of Tanzania. It is the day that made Tanzania politics change, FOR GOOD! Thanks God for that Day and the decision made for us.
 
Heche na lissu watu maana sana aisee, wahuni walituchelewesha sana
 
21.01.2025 Historic day in the politics of Tanzania. It is the day that made Tanzania politics change, FOR GOOD! Thanks God for that Day and the decision made for us.
Mwaka 2025 kulikuwa na uchaguzi mmoja tu nao ni 21 mwezi January.

Hii siku haikuwa ya kawaida CCM waliingiza kila mbinu chafu kuuvuruga huu uchaguzi ila uwazi ule na demokrasia ya kweli walishindwa.

Hawa wazalendo waliokesha na uchaguzi kwenda live mitandaoni kuanzia kunadi sera , kupiga na kuhesabu kura uliweza kuondoa matapeli 99% wa kisiasa ambao hatukuwajua hapo awali.

Niwapongeze sana hao watu kwa kufungua upya ukurasa wa siasa za upinzani.
20251207_115059.jpg
 
Back
Top Bottom