Bikra ajitokeze ndoa nyeupee!

wadada kweli mnataka kusema hamna mwenye sifa? bado sijataka kuamini kama hali ndio hii..
 
Kazi kwenu atakaewahi wa kwanza huyohuyo.[/QUOTE]


Kwa taarira yako, hakuna msichana aliyejitunza mwenye uhaba huo unaodhani, kiasi cha kusema eti "unampa zawadi ya ndoa". Kuolewa na wewe ni zawadi? Duh!.

Unacheza na watoto wa kike wenye maadili wewe. Huna mapenzi wala unyenyekevu. Unaonyesha ni mtu wa kujisikia, umejaa dharau na kwako wanawake ni kama bidhaa ama watumwa. Hawahitaji kujali hisia zao, hawana haki ya kupenda na si biandamu wa kutathmini sifa na vigezo vya mtu wanayetaka kuishi naye. Kwako wewe unachojua ni amuri tu na kuabudiwa.

Utasubiri sana. Labda ukaoe mimba kwenu. Kwenu si huwa mnafanya booking za mimba, wahi mapema unaweza kufanikiwa lakini katikadunia ya wastaarabu, u dictator na madharau hayo kwa wanawake, imekula kwako.
 
Unaoa bikra ama MKE? Ama kweli wengine vichwa vyetu ni vya kufugia nywele!
 
Mbona hta walio 30's wapo!! U can get anything, if u only know where to goo!!!!
 
bikira ipi unatafuta. ya mbele au ya nyuma? kuwa specific bana
 
Unamaana gani mkuu..wachafu wa kufua nguo,kudeki,kuosha vyombo eteeee ama uchafu gani unauzungumzia?
 
Bikra bado zipo kwa waliojitunza na kujiwekea malengo yao.
 
Bhahahahahahaha. Kila kitu kinapatikana km una imani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…