Bikira miaka 30

Akili zingine bwana hata mtoto wa kindagateni hawezi kufikilia hivyo..
 


Mkuu, mimi nilikaa na Bikira kwa miaka 27, ilitolewa na Mume ninayeishi naye pamoja na kwamba hakuweza kusubiri mpaka siku ya ndoa. Ukweli ni kwamba, siku ya kwanza unaumia sana. Mimi ilinijengea hofu fulani kwamba kufanya mapenzi kunaumiza, na niliweza kuondoa hiyo dhana baada ya zaidi ya mwaka kwenye ndoa.
Namshukuru Mungu kua Mume wangu alijua sina experience na alijitahd kunisaidia na kunivumilia kwa hilo, tulienda zaidi ya hapo hata kuanza kuangalia picha/video za ngono ili niweze kujifunza(pamoja na kwamba kwa maadili na imani yangu sitakiwi kuangalia hizo picha/video).
Hivyo, huyo dada kama mmewe mtarajiwa ana hekima za kutosha, atamsaidia na atamheshimu kwa kujitunza kwake. Jambo la msingi amwambie ukweli ili ajue pa kuanzia.
 
Are you serious bro?
Bikra bado zipo dunia hii?

Hah hah hah nyie mnazan nani wanawatoa bikra? Zinatolewa na binadamu/wanaume walokuwahi, wewe umekuta used, jua kuna alokuta brand new akatumia,akaacha. Ukiuliza kuwa duniani kuna bikra unafanya nishangae.
 
HOpe 2 nilichomaanisha hapo ni kwamba hatakuwa na kumbukumbu ya kufanya ngono na wanaume wengine na kutaka afanyiwe kama alivyofanyiwa na z.kabla ya kuwa na mmewe,vinginevyo maumivu yapo lakini maumivu ni kitu gani,mfano mama hulia kwa uchungu wakati akijifugua mara mtoto akitoka hufurahia na kuishia kuuliza ni wa kike/kiume
 
si jambo la maana kuona anakwenda kuitoa bikra. mimi mwenyewe mke wangu nimemuoa akiwa na miaka 26 lakin bikra na hii huwa inanipa uhakika kwamba huyu mwanamke ni muaminifu kabisaaaa.
 

Mi namshauri atulie tu! aongee na wanawake wenzake wazoefu wamfunde namna ya kumfurahisha mme wake.Huko Hospitali anaweza kukutana na wanaume/madoctor wapenda bikra wakaitoa kwa njia za asili ikawa ndo amri ya sita ishavunjwa hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…