Bikira inanitesa

...............Yaani unaomba ushauri katika ujinga............... imaonekana ni muongo wa kutupwa!! na kama ni kweli na unaona sifa,basi jiandae kuharibiwa watoto wako, watoto wa watoto wako hadi vizazi vinne, chochote utakacho panda ndicho utakachovuna ..... panda kubikiri kwa sifa ujiandae kuharibiwa watoto .... naomba urudie mara 6 ujumbe huu
 
wewe waharibifu wote wachukua certificate kwako.
]

pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Mostly ni watoto wa shule. Mvua 30 zitakuhusu any time. chezea pupils weye!
 
Mkuu Kichumvi pole sana na majukumu, naomba ufanye yafuatayo:-
1. anza project ya ujenzi maana bei ya nondo, cement, mabati na mbao inazidi kupanda!!!
2. kama na mkristo jiunge na kwaya au uongozi wa jumuiya ndogondogo na utumie muda mwingi kusoma biblia
3. maisha mazuri siyo bikira tu...saidia jamii yako!!!
 
Chunga sana ukifikia hiyo ya 7 nadhani utapata BIKIRAUKIMWI....
 
Malipo dunian. Mkeo wa ndoa na wanao watafanywa hvy hvy.
 
we mzinzi tu suala si bikira ila unapenda tu kuchezea watoto wa watu. Zaa wako afu umuonje hamu ya bikira itaisha
 
Unadai umetoa bikira 6 na ukishaichana unaachana nayo na kutafuta nyingine bikira. Sasa huoi nke bora ng'o! Na nkeo atatafunwa na kila mpita njia, maana chi wapachua na kuacha? Bikiya ya nkeo itaota mpya kila siku? Bure kabisa wewe. Nchumali kakuzidi akili kaoa nke nzuri chana.
 

wee endelea au ujiue tu hakuna dawa ya iyo kitu
 
Mharibifu mkubwa wewe. Yaani wewe unakuta mwanamke bikra halafu unamwacha? Angalia laana lisikupate mabinti zako wote waka-fall victim!!! Watoto wenu wanaharibika kitabia wazazi mnalialia kumbe ni matokeo ya laana zenu.
 
Kwanza kabisa NENDA KAPIME AFYA YAKO,MAANA NI RAHISI SANA KUAMBUKIZWA VVU na Mtu mwenye BIKIRA kwani watoto wengi huzaliwa nao..
Pili,Tafakari hao wangekuwa dada zako au watoto wako ungejisikiaje?
 



Nakuonea huruma sana kwakweli yani unajilaani mwenyewe tena sana.
Swali, unapenda unavyoona tabu kuitoa HIYO BIKRA NA KUONA DAMU au unapenda tu uwe wa kwanza kwake, kama ni ugumu tafuta mpenzi wako mmoja mkubaliane baada ya mda unamnunulia bikra ya kichina alafu ukiona imekuwa ngumu kuingiza unaasume ni original bikra maisha yanaendelea ila pole sana na ujirekebishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…