Asalaam aleykum, bwana asifiwe, tumsifu Yesu kristo wanaJF, poleni na msiba wa wapendwa wetu wawili Remmy na Baba Diana mola azilaze roho zao mahala pema peponi.
Jamani huyu mtu anaitwa BIGIRITA yuko wapi? Teamo, Aspirini (Babu), The Finest (Dig Dig), GY, Rose180, RR, MwanaJ1, Mama kwanza, Maty na wengine nisaidieni kumuambia namtafuta. Nashukuru kama mtanifikishia salamu zangu kwake.