Biggest Lie Ever Told to Tanzanians

Biggest Lie Ever Told to Tanzanians

Bufa sisi ni donor country. Usipotoshe wananchi. Unataka kusema aliyetuaminisha kuwa nchi hii tajiri isipokuwa imechezewa sana alikuwa anadanganya?

My point is, utajiri wa rasilimali is evenly distributed. Watu wasiaminishwe kwamba wao hawapaswi kufanya kazi kisa tu tuna rasilimali, wenye mali zaidi yetu wanafanya kazi na kulipa kodi zaidi yetu.
 
Nchi hii ni tajiri sana ila watu wake ndio maskini kwa maana wameshindwa kutumia resources walizonazo kufanya maendeleo yao. Kila kitu kipo Tanzania na ndiyo maana nchi lazima igombaniwe kwa ajili ya kuchukua huo utajiri ambao hata wewe huamini kama unao. Wakati ule walipora moja kwa moja kama wakoloni lakini kwa sasa wanatumia mbinu nyingine kupora wakiwatumia wazalendo wenzetu kupitia ubia, misaada, mikopo nk. Ndiyo maana hutakaa usikie unapewa msaada utakaokusaidia ujiitegemee... Misaada yote ni pingu ya kutufanya tuwe tegemezi zaidi
 
Wewe ni prime example ya mada yangu. Utajiri tulionao wengine hawana?

Tumeizidi nini nchi kama SA, Congo, US, China, Russia kwa rasilimali?

Utajiri ni evenly distributed duniani kote msijidanganye. Mizungu inataka mali zenu sababu wao wana kazi nazo nyie mmekalia tu sio kwamba hawana au mmewazidi.

Watu hawajui US, China na Russia ni top 10 ya gold, copper, natural gas na oil producers duniani msidhani hawana sema wana mahitaji zaidi. Subsequently, watu kwenye hizo nchi wanafanya kazi 24/7 na kulipa kodi kwenye kila kitu.

Huku bongo, kama picha pale juu iliyofanya nianzishe huu uzi, watu wanaamini sisi ni matajiri sana hivyo hatupaswi kufanya kitu inabidi tulale tu tulipwe na serikali kwa kuwa tuna rasimali.
 
Nchi hii ni tajiri sana ila watu wake ndio maskini kwa maana wameshindwa kutumia resources walizonazo kufanya maendeleo yao. Kila kitu kipo Tanzania na ndiyo maana nchi lazima igombaniwe kwa ajili ya kuchukua huo utajiri ambao hata wewe huamini kama unao. Wakati ule walipora moja kwa moja kama wakoloni lakini kwa sasa wanatumia mbinu nyingine kupora wakiwatumia wazalendo wenzetu kupitia ubia, misaada, mikopo nk. Ndiyo maana hutakaa usikie unapewa msaada utakaokusaidia ujiitegemee... Misaada yote ni pingu ya kutufanya tuwe tegemezi zaidi
Ahsante sana mkuu
 
Serikali ipo busy kuwakaribisha wawekezaji watumbue rasilimali zetu bure bure tu na kudanganywa na vikodi kiduchu.

Huku ikiwakamua kodi na tozo wananchi wake.
 
Akili ndio Utajiri WA nchi na sio vinginevyo.

Kama Watanzania wanadhani Utajiri ni kuwa na madini au Rasilimali bila ya akili basi watasubiri Sana
 
Serikali ipo busy kuwakaribisha wawekezaji watumbue rasilimali zetu bure bure tu na kudanganywa na vikodi kiduchu.

Huku ikiwakamua kodi na tozo wananchi wake.
Kwenye principles za kodi, ipo inayolenga uwezo wa mlipa kodi (ability to pay principle) kwamba mwenye pato kubwa alipe kodi kubwa pia.

Tanzania ni tofauti. Wenye mapato makubwa wanaoitwa wawekezaji wanapewa misamaha ya kodi wakati maskini wasio na uwezo wa kulipa wakirundikiwa mikodi na mitozo isiyo idadi.

Posho wanazojilipa wabunge zinatakiwa kisheria zikatwe kodi lakini wabunge ndio wamekuwa wavunja sheria! Bongo tambarare.

Kwa upande mwingine, hata hicho kinachopatikana kinatumiwa kama vile taifa hili linaongozwa na walevi.

Sasa hivi tunalia bei ya mafuta iko juu sana; lakini ukipita kwenye mabaa saa zisizo źa kazi na siku za weekend utashangaa wingi wa magari ya serikali yaliyoegeshwa kwenye mabaa watu wakijipongeza.

Nobody cares.
 
Back
Top Bottom